Ads 468x60px

Jumatatu, 12 Desemba 2016

PICHA ya Wapenzi wa Zamani ya Kajala na Petitman Yazua Gumzo..Petit Afunguka na Kuuliza SwaliPicha waliopiga Kajala na Petit Man Huko Snap Chat inavyoonekana imeleta sinto fahamu upande wa Petit na mpenzi wake na kumfanya aulize swali kwa mashabiki zake kama kupiga picha na mpenzi wake wa zamani ni kosa......

Petit man na Kajala walikuwa wapenzi kwa muda mrefu kabla ya kuachana nae na kuamua kumuoa mdogo wa Diamond Esma Platnumz

COMMENT HERE

SHARE