Ads 468x60px

Jumanne, 13 Desemba 2016

Rais alaumu wizara ya uchukuzi kwa mkasa uliowaua watu 41


Rais Uhuru Kenyatta ametoa onyo kali kwa mataifa ya kigeni dhidi ya kushawishi Wakenya jinsi ya kupiga kura mwaka ujao, 2017.
Kwenye hotuba yake wakati wa maadhimisho ya siku kuu ya Jamhuri katika uwanja wa Nyayo jijini Nyayo, Kenyatta amesema hatokubali kuona mataifa ya kigeni yakitumia mashirika nchini Kenya, kuwaamulia wananchi jinsi watakavyopiga kura mwaka ujao.

Angakia Video

COMMENT HERE

SHARE