Ads 468x60px

Jumatatu, 12 Desemba 2016

TUZO Tatu Alizoshinda ALIKIBA Zamfanya Mwanamuziki AT Ajikojolee Kitandani....Kabla ya tukio kubwa la #EATVAwards jana usiku, msanii AT aliahidi kuwa kama Kiba angeshinda tuzo basi kwa furaha angekojoa kitandani. Baada ya tuzo hizo na Kiba kulamba tuzo 3. AT ametimiza ahadi hiyo na kutupia picha insta.

Una neno gani kwa AT?

COMMENT HERE

SHARE