Ads 468x60px

Jumapili, 25 Juni 2017

Kikosi cha Polisi kitengo cha Usalama Barabarani nchini kimewatahadharisha wananchi kuzingatia sheria na usalama barabarani


Kikosi cha Polisi kitengo cha Usalama Barabarani nchini kimewatahadharisha wananchi kuzingatia sheria na usalama barabarani wakati wote wa Sikukuu ya Idd El Fitr ili kuepuka matukio ya ajali.

Kamanda wa Kikosi hicho Fortunatus Musilimu amesema katika kipindi cha Sikukuu kikosi hicho kitafanya oparesheni ya kuwapima madereva ili kubaini kama wametumia vilevi na watakaobainika watachukuliwa hatua za kisheria.
Sikukuu ya Eid el Fitri inatarajiwa kufanyika kesho ambapo kitaifa ibada itafanyika Mkoani Kilimanjaro.
Godfriend Mbuya
Juni 25,2017

0 comments:

Chapisha Maoni

COMMENT HERE

SHARE