Ads 468x60px

Jumapili, 25 Juni 2017

VIDEO: Emanuel Okwi alivyopokelewa na Makamu wa Rais wa Simba


Usiku wa June 24 2017 mshambuliaji wa zamani wa Simba Emanuel Okwi aliwasili kimya kimya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage nyerere Dar es Salaam ili kujiunga na wekundu wa Msimbazi Simba, Okwi alipokelewa na makamu wa Rais wa Simba Geofrey Nyange Kaburu na kutotaka kuongea chochote na waandishi wa habari.

0 comments:

Chapisha Maoni

COMMENT HERE

SHARE