Ads 468x60px

Jumapili, 25 Juni 2017

Wakazi wa kata ya Lemooti wilayani Monduli mkoani walalamika juu ya migogoro ya ardhi


Wakazi wa kata ya Lemooti wilayani Monduli mkoani Arusha wamewalalamikia baadhi ya viongozi wasio waaminifu ambao wamekuwa wakishirikiana na wenzao wachache kugawa ardhi iliyotengwa kwa ajili ya malisho.

Wakazi hao ambao ni jamii ya Kimaasai wametoa malalamiko hayo wakati wa kuhitimisha uongozi wa kimila wa rika la Irikpon.

Laigwanani wa Rika la Irikpon kata ya Lemooti, -Ndipapa Lenginyai amesema kuwa pamoja na tatizo hilo la kugawa ardhi kuripotiwa katika ngazi mbalimbali na kutolewa matamko, bado ni kikwazo kwa maendeleo ya jamii yao
Sechelela Kongola
Juni 25,2017

0 comments:

Chapisha Maoni

COMMENT HERE

SHARE