Ads 468x60px

Jumamosi, 24 Juni 2017

Yusuf Manji asitisha mpango wa kuliendeleza eneo la ufukwe wa Coco Beach


Yusuf Manji amesitisha mpango wa kuliendeleza eneo la ufukwe wa Coco baada ya Rais Magufuli kuagiza libaki kwa ajili ya matumizi ya wananchi.
==>Hapo chini kuna tamko lake ( Libonyeze Kuyakuza Maandishi)

0 comments:

Chapisha Maoni

COMMENT HERE

SHARE