Ads 468x60px

Jumapili, 25 Juni 2017

ZIWA KITANGILI LAFUNGWA KWA MWAKA MMOJA KULINDA UOTO WA ASILI


Baadhi ya wakuu wa idara wa Halmashauri ya wilaya ya Iramba wakiwa kwenye ukumbi wa mikutano wa Halmashauri hiyo wakati wa mkutano wa kawaida wa baraza la madiwani uliofanyika mjini Kiomboi.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Iramba,Mkoani Singida,Simon Tyosela(wa kwanza kutoka kulia) akiongoza mkutano wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya hiyo.

0 comments:

Chapisha Maoni

COMMENT HERE

SHARE