Ads 468x60px

Ijumaa, 20 Aprili 2018

Breaking News: Mrembo Agness Masogange Amefariki Dunia
Video queen wa muda mrefu Agness Gerald  maarufu kama Masogange amefariki Dunia leo katika Hospitali ya Mama ngoma Mwenge,
CMG inatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.

Tutaendelea kuwajulisha taarifa zaidi kuhusu msiba huu

0 comments:

Chapisha Maoni

COMMENT HERE

SHARE