Ads 468x60px

Alhamisi, 19 Aprili 2018

Kiwanda Cha Ocean Kiss Chateketea kwa Moto


Moto Mkubwa uumezuka katika kiwanda cha magodoro cha Ocean Kiss kilichopo Tabata Matumbi. Kamanda wa Jeshi la Zimamoto Mkoa wa Ilala, Ully Mbuluko amesema kuwa wamefanikiwa kuudhibiti moto huo ili usiendelee kuleta madhara zaidi. 
Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana.

0 comments:

Chapisha Maoni

COMMENT HERE

SHARE