Ads 468x60px

Alhamisi, 17 Mei 2018

Hongera Hamisa Kwa Kumpendezesha Aunty Ezekiel


Kupitia mobetostyle kwa Mara ya kwanza mbongo muvi aunty Ezekiel alipendeza sana kwa vazi La heshima alilovaa kwenye uzinduzi wa film yake inayoitwa MAMA ktk ukumbi wa Mlimani City, kwa kweli umejitahidi mnoo!Aunty alipendeza haswaa akanoga,akaonogeka katika siku yake adhimu.

Hongera sana kwa kufungua kiwanda cha ushonaji(Tanzania ya viwanda)naona unapiga hatua kubwa sanaa kimaendeleo na nimeona pia umevalisha mamiss ifm 2018,ni jambo zuri wadada wa wadogo kama wewe ambao mko chini ya miaka 30 mkifanya jitihada za kimaendeleo kama hizo.

hamisamobetto_BizPjA8HkzS.jpg

Hongera sana kwa wadada wa bongo movie pia kwa kuweza kuamua kujishughulisha na biashara tofauti tofauti na kusapotiana katika kazi zenu.

Nimekupenda bure we mdada na Mungu abariki kazi halali ya mikono yako!!
SIGNATURE
One step at a time!

0 comments:

Chapisha Maoni

COMMENT HERE

SHARE