Ads 468x60px

Jumamosi, 12 Mei 2018

Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini, (TMA) Yatoa Tahadhari ya Mvua Kubwa


Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini, (TMA) imetoa tahadhari kwa wakazi wa maeneo ya Ukanda wa Pwani kwani mvua kubwa zinatarajiwa kunyesha kuanzia leo.

Taarifa ya TMA imesema maeneo yanayotarajiwa kupata mvua kubwa ni Dar es Salaam, Pwani, Tanga na Visiwa vya Unguja na Pemba.

Utabiri huo uliotolewa jana, Mei 11 umeonyesha kuwa kesho, Mei 13 kutakuwa na ongezeko la mvua maeneo ya Ukanda wa Pwani ya Kaskazini.

0 comments:

Chapisha Maoni

COMMENT HERE

SHARE